Mtu kujiombea du´aa dhidi ya nafsi yake

Swali: Ni ipi hukumu ya kujiombea Du´aa dhidi yangu au kuvunjwa shingo langu ikiwa nitasema uongo?

Jibu: Haijuzu kwa mtu kujiombea dhidi ya nafsi yake kwa mambo haya. Badala yake atumie yamini kwa Allaah (´Azza wa Jalla) ikiwa ni mkweli. Asitumie mambo mengine katika matamshi kama haya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-6-2.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014