Mtu asiyefanya matendo kabisa sio muislamu

Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kuacha kufanya matendo na kusema kuwa hayaingii katika imani?

Jibu: Sio muislamu. Mtu akiacha matendo na kusema kuwa ni muumini ilihali hatendi, sio muislamu. Imani ni maneno ya ulimi, I´tiqaad ya moyo na matendo ya viungo. Inazidi kwa utiifu na inapungua kwa maasi. Imani sio mchezo tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017