Mtu anayetaka kuigusa mbingu kwa mikono


Swali: Kuna ambao wanaidhoofisha Hadiyth ya kugawanyika kwa Ummah huu makundi sabini na tatu. Ni ipi Radd yako kwake?

Jibu: Hadiyth ya kugawanyika [kwa Ummah huu] wameisahihisha maimamu wa Hadiyth ambao ni maimamu wa al-Jarh na at-Ta´diyl. Anayetaka kuiponda hatoweza kufanya hivo. Ni kama anataka kuifikilia mbingu na kuigusa kwa mkono wake.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alnajmi.net/voices.php?action=show&id=10
  • Imechapishwa: 20/09/2020