Mtu anaweza kufunga Muharram wote?


Swali: Je, mtu anaweza kufunga mwezi wa Muharram wote?

Jibu: Hapana, asifanye hivo. Hakuna mwezi wowote ambao Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alifunga wote isipokuwa tu Ramadhaan.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2017