Mtu anapata thawabu kwa kumhudumikia mfanyikazi?

Swali: Je, kumpa matumizi mfanyikazi wa kike kunaingia katika kuwapa matumizi familia na mtu anapata thawabu juu ya hilo ikiwa mfanyikazi huyo ni muhitaji?

Jibu: Kila tumizi, hata kama watakuwa wanyama, watumwa, mfanyikazi n.k. mtu anapewa ujira.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
  • Imechapishwa: 28/01/2018