Mtu anapata dhambi kwa kupukuchika kwa ndevu anapozichezea?

Swali: Wakati fulani huchezea ndevu zangu ambapo baadhi ya nywele zikaanguka. Je, ninapata dhambi kufanya hivo?

Jibu: Ndio. Kuanguka kwa nywele zilizokufa wakati wa kuoga na wakati wa kutawadha hakudhuru. Lakini haitakikani kwa mtu kukusudia kuchezea ndevu zake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 27/09/2018