Swali: Mwenye kuacha kufanya ´Aqiyqah anapata dhambi?
Jibu: Hapana. ´Aqiyqah ni Sunnah. Mwenye kuifanya anapata ujira na mwenye kuiacha hana juu yake dhambi.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-04-15.mp3
- Imechapishwa: 16/11/2014