Mtu akiacha kufanya ´Aqiyqah anapata dhambi?


Swali: Mwenye kuacha kufanya ´Aqiyqah anapata dhambi?

Jibu: Hapana. ´Aqiyqah ni Sunnah. Mwenye kuifanya anapata ujira na mwenye kuiacha hana juu yake dhambi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (48) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1432-04-15.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014