Mtu ajaribu kuleta unyenyekevu katika swalah

Swali: Ninasumbuliwa katika swalah yangu kwa moyo wangu kufikiria haya na yale. Ni kitu gani ambacho kitafanya moyo wangu kuwa na unyenyekevu katika swalah?

Jibu: Sote tuko hivo na hakuna nguvu wala uwezo isipokuwa kwa msaada wa Allaah. Lakini kinachotakikana ni muislamu ajaribu. Allaah atamsaidia katika hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-4-23.mp3
  • Marejeo: Firqatunnajia.com
  • Imechapishwa: 06/11/2014


Takwimu
  • 27
  • 413
  • 1,821,446