Swali: Ninasumbuliwa katika Swalah yangu kwa moyo wangu kufikiria haya na yale. Ni kitu gani ambacho kitafanya moyo wangu kuwa na unyenyekevu katika Swalah?
Jibu: Sote tuko hivo na hakuna nguvu wala uwezo isipokuwa kwa msaada wa Allaah. Lakini kinachotakikana ni Muislamu ajaribu. Allaah Atamsaidia katika hilo.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-4-23.mp3
- Marejeo: Firqatunnajia.com
- Imechapishwa: 06/11/2014