Swali: Ni ipi njia inayokubalika Kishari´ah ya kutokomeza uchawi endapo mtu ataupata mahali fulani?
Jibu: Autokomeza ima kwa kuunguza au kwa njia nyingine. Muhimu ni yeye autokomeze kwa kutumia njia yoyote ile.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (60) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16548
- Imechapishwa: 10/09/2017