Swali: Ikiwa wanachuoni wana maoni mawili katika masuala fulani aula zaidi mtu achukue yale maoni yaliyo salama zaidi?

Jibu: Inatakiwa kuchukua yale maoni yaliyosimama katika dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2019-03-1438H.mp3%2001.mp3
  • Imechapishwa: 09/10/2017