Swali: Ni ipi hukumu wakati mtoto anapomkojolea yule aliyembeba na huku anaswali?

Jibu: Anatakiwa kukata swalah yake na kuosha mkojo ikiwa mtoto huyo kishaanza kula chakula au anyunyizie maji kisha aanze swalah yake mwanzo ikiwa mtoto hajaanza kula chakula.

´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz

´Abdur-Razzaaq ´Afiyfiy

´Abdullaah bin Ghudayyaan

´Abdullaah bin Qu´uud

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Lajnah ad-Daaimah nr. (4048)
  • Imechapishwa: 09/06/2022