Mtoto amekufa kabla ya kutahiriwa

Swali: Mtoto wa kiume akifa kabla ya kutahiriwa atahiriwe baada ya kufa au hapana?

Jibu: Hakuna yeyote anayetahiriwa baada ya kufa.

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (21/115)
  • Imechapishwa: 21/11/2017