Mtoto akibadilishwa jina ni lazima afanyiwe ´Aqiyqah?

Swali: Wakati mtu anapombadilisha mtoto wake jina la zamani na kumpa la sasa ni wajibu kumfanyia ´Aqiyqah?

Jibu: Hapana. Hili ni kwa ´Awwaam ambao wanasema ukibadilisha jina unatakiwa kuchinja mnyama. Wanachotaka ni nyama! Hili halina asli.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (28) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-5-25.mp3
  • Imechapishwa: 15/11/2014