Mtenda dhambi atapokea daftari lake kwa mkono gani?


Swali: Muislamu ambaye ni mtenda madhambi atapokea daftari lake kwa mkono wa kushoto au wa kulia?

Jibu: Muislamu ambaye sio kafiri atapokea daftari lake kwa mkono wa kulia. Lakini hata kama atapokea daftari lake kwa mkono wa kulia anaweza kuadhibiwa kwa sababu ya madhambi yake. Ikibidi hivyo hatodumishwa Motoni milele kama atavyofanywa kafiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_10.mp3
  • Imechapishwa: 22/06/2018