Mtenda dhambi anatakiwa kusitiriwa na sio kufedheheshwa

Swali: Ni ipi hukumu ya kuwaita baadhi ya watenda maasi “mzinzi”, “muovu” na “mwehu”?

Jibu: Haijuzu kuwafedhehi watu kwa maasi. Ni wajibu kwake kuwanasihi na kuwasitiri:

“Mwenye kumsitiri muislamu, basi Allaah naye atamsitiri duniani na Aakhirah.”

Pamoja na hivyo aendelee kumlingania na kumnasihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-3-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 17/11/2018