Swali: Ni nani anastahiki kuwaua wale wenye kueneza ufisadi katika ardhi? Je, ni kila yule mwenye kuwaona au ni kazi maalum ya mtawala?
Jibu: Ni watu gani hao wenye kueneza ufisadi katika ardhi? Isiwe kila mmoja anamtuhumu mwengine ya kwamba ni mwenye kueneza ufisadi akenda kumuua. Hii ni kazi maalum ya mtawala.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2019-03-1438H.mp3%2001.mp3
- Imechapishwa: 09/10/2017