Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“[Sikilizeni na tiini] hata kama mtatawaliwa na mtumwa.”

Bi maana mtumwa akawashinda juu ya utawala na akaita watu wamsikize. Akiita watu wamsikize na kumtii, basi katika hali hii itakuwa ni wajibu kumsikiliza na kumtii.

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Arba´iyn an-Nawawiyyah, uk. 387
  • Imechapishwa: 13/05/2020