Mtandio umeanguka kwenye paji la uso wakati wa swalah

Swali: Mtandio wa mwanamke ulianguka kwenye paji lake la uso alipokuwa amesimama na kuswali. Je, linaathiri swalah yake?

Jibu: Hapana, haliathiri. Haliathiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (61) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid-%2029%20-0%206-1438.mp3
  • Imechapishwa: 06/08/2017