Mswaliji Atazame Wapi Anaposimama Mbele Ya Ka´bah?


Swali: Mswaliji anaposimama mbele ya Ka´bah atazame wapi? Aitazame?

Jibu: Hapana. Atazame mahala anapofanyia Sujuud. Asiitazame Ka´bah. Anatakiwa kutazama anaposujudia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (9) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt--14340506.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2017