Mswaliji anaweza kusoma al-Faatihah bila ya kutikisa ulimi na midomo?

Swali: Mswaliji anaweza kusoma al-Faatihah kwa kunyamaza bila ya kutikisa ulimi wala midomo yake?

Jibu: Hapana, si sawa. Kisomo hakiwi isipokuwa ima kwa kutikisa ulimi au angalau ajisikie yeye mwenyewe. Ni lazima angalau kwa uchache ajisikie yeye mwenyewe.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%2025%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017