Swali: Wiki iliopita kajitokeza muftiy wa Ibaadhiyyah kwenye chaneli moja inayoitwa ´Islaamiyyah` na akawa anarusha I´tiqaad zake kati ya watu. Je, una nasaha zozote za kuwapa wasimamizi wa chaneli kama hizi?

Jibu: Msichukue fataawaa zinazokwenda kinyume na Shari´ah na fataawaa za wazushi, wajinga na wenye kujifanya ni wanachuoni. Msizichukue. Msitazame chaneli hizi. Msizitazame.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (19) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-22011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 22/12/2019