Swali: Mtu ambaye anamficha mwenye kuingiza madawa ya kulevya kimagendo, mtu wa Bid´ah, Khaarijiy au anayetafutwa anaingia katika maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Laana ya Allaah iwe juu ya yule ambaye anamlinda mzushi.”?[1]

Jibu: Halina shaka. Hawa ni watu wa matendo ya jinai. Wanawashambulia watu. Haijuzu, kuwanyamazia, kuwatetea, kuwaficha kwenye majumba yao na mfano wa hayo au kuwasitiri. Haijuzu.

[1] Muslim (1978).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (32) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20%20-%203-11-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017