Swali: Katika baadhi ya nchi wanapeana mikono na wanawake?
Jibu: Hili halijuzu. Hata kama mtu atakuta hali hiyo na ikawa katika mazowea yao ni kupeana mikono na wanawake. Ni wajibu kuachana na desturi hiyo.
- Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Liqaa' ash-Shahriy (47) http://binothaimeen.net/content/1087
- Imechapishwa: 06/04/2019