Msimamo mahali ambapo kumejaa wajinga


Swali: Unatunasihi nini khaswa leo ambapo wanachuoni wamekuwa wachache na wamejitokeza wajinga wenye kwenda kinyume na mfumo wa Salaf-us-Swaalih?

Jibu: Ni juu yako kwenda kwa wanachuoni kuwasikiliza na utafute elimu kwenye mikono yao hata kama watakuwa wachache. Wachache hao kuna baraka ndani yao – Allaah akitaka.