Swali: Kaka yangu ana mazowea ya kuwatukana watawala na viongozi. Je, nimkate? Mtu ende naye kivipi kwa mujibu wa Shari´ah?

Jibu: Mbainishie. Mbainishie ya kwamba haijuzu na ni madhehebu ya Khawaarij. Haya ni madhehebu ya Khawaarij. Linasababisha fitina kati ya Waislamu. Usifanye hivi. Ima apokee [nasaha] au achana naye na jitenge naye mbali ili asikuathiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (34) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20-%201%20-%202%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015