Msimamo kwa mtu mwenye kupitisha maandamano na migomo


Swali: Kuna mlinganizi katika nchi yetu amepitisha uasi kwa aina ya maandamano na migomo dhidi ya mtawala mmoja wa nchi za Ghuba kwa hoja ya kwamba hatimizi masharti ya utawala. Je, ulinganizi huu unahesabika ni katika ulinganizi wa Khawaarij?

Jibu: Apuuzwe. Achane naye na muepuke. Ikiwa mnaweza kueleza mamlaka ambao wanaweza kumsitisha na kusafisha shari zake, ni lazima mfanye hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu'
  • Imechapishwa: 05/09/2020