Msimamo juu ya tovuti mbaya na propaganda chafu kwenye simu – jiepushe na utahadharishe!

Ninamuomba Allaah (´Azza wa Jall) atuongoze sote katika elimu yenye manufaa, matendo mema, uthabiti juu ya haki na kutahadhari na fitina na shari.

Hivi sasa kama ambavyo mnajua fitina inaenezwa kwenye simu na tovuti. Tahadharini! Tahadharisheni tovuti hizi mbaya na fikira zinazozunguka kwenye simu. Tahadharisheni nazo!

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/02011436.mp3
  • Imechapishwa: 27/08/2020