Msimamo juu ya matumizi ya mfanyikazi benki


Swali: Kaka yangu anafanya kazi benki. Yeye ndiye anasimamia matumizi yangu na matumizi ya familia. Je, tukubali kile anachotupa na tukile?

Jibu: Ikiwa hamna namna ya kupata kingine, kuleni. Ikiwa mna namna ya kupata kingine, haijuzu kwenu kula katika matumizi yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 23/06/2018