Msimamo juu ya “Fiy Dhwilaal-il-Qur-aan” kwenye maktbah za misikiti

Swali: Kwenye maktbah nyingi za misikiti kuna kitabu “Fiy Dhwilaal-il-Qur-aan”. Wakati ninapomnsihi imamu wa msikiti anasema kuwa kitabu ni tafsiyr ya Qur-aan na ni kizuri. Una nasihi nini?

Jibu: Umefanya wajibu wako. Hili limebaki kwenye dhimma ya imamu wa msikiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu’
  • Imechapishwa: 05/09/2020