Swali: Inajuzu kwa msimamizi wa mwanamke kumshurutishia yule anayemchumbia msichana wake asimuoe juu yake mwanamke mwingine na hilo likaandikwa kwenye mkataba wa ndoa?
Jibu: Haijuzu kwake kufanya hivo. Haifai kwake kuzuia kitu alichohalalisha Allaah (´Azza wa Jall).
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (70) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%20-%2019%20-0%207%20-%201438.mp3
- Imechapishwa: 10/09/2017