Msikitini na nguo za kulalia


Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kwenda msikitini kwa mavazi aliolalia?

Jibu: Muhimu mavazi hayo yawe masafi na yenye kusitiri. Yakiwa ni twahara na masafi swalah inasihi.

Lakini mavazi yenye utata au ambayo yanafanya watu kukuangalia vibaya usende nayo [msikitini]. Vaa kama wanavyovaa wengine wanapoenda msikitini kuswali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13389
  • Imechapishwa: 25/04/2018