Msichana Wa Kiislamu Anamuahidi Kijana Kuolewa Nae

Swali: Inajuzu kwa msichana wa Kiislamu kumuahidi kijana kuolewa nae bila ya kuwataka ushauri wala kuieleza familia yake kuhusu hilo?

Jibu: Hapana, haijuzu. Haijuzu isipokuwa kupitia njia ya walii wake. Walii wake ndiye atadili na mposaji. Asizungumze na wasichana. Haijuzu kufanya hivi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (41) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%204%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 13/03/2017