Msichana wa kaka amenyonya mara tano kwa mke wangu

Swali: Msichana wa kaka yangu alinyonya kwa mke wangu mara tano. Je, hivi sasa anakuwa haramu kwa watoto wangu?

Jibu: Ndio. Ikiwa alinyonya mara tano kwa kulishika titi kila mara, anapata hukumu ya uharamu wa unyonyaji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (94) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86-27-01-1440%D9%87%D9%80.mp3
  • Imechapishwa: 02/02/2019