Msichana ameridhia kuolewa na mvuta sigara ila wazazi hawataki


Swali: Kuna mwanamke amechumbiwa mwanamume ambaye anavuta sigara na yeye ameridhia na wakati huohuo walezi wake si wenye kumridhia. Je, wamuozeshe au hapana?

Jibu: Walezi wake wanatakiwa kumzuia kuolewa na huyo aliyetajwa. Hili litawagharimu kwa sababu ni maasi ambayo wanaweza kufedheheka kwayo.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aaalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.ajurry.com/vb/showthread.php?t=9008
  • Imechapishwa: 29/04/2018