Swali: Ni ipi hukumu ya kuteuliwa katika kampuni na kupata mshahara bila ya kufanya kazi kwa hoja ya usuudi[1]?

Jibu: Haijuzu. Hii ni hila na uongo juu ya nidhamu. Ni njia moja wapo ya kula mali za watu kwa batili. Mshahara bila ya kufanya kazi ni njia moja wapo ya kula mali za watu bila ya haki.

[1] Tazama https://en.wikipedia.org/wiki/Saudization

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (23) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsirayat-12-07-1435-01_0.mp3
  • Imechapishwa: 19/05/2018