Swali: Wakati kulitokea milipuko kutoka katika mapote potevu karibu na msikiti wa Mtume, kuna ambao waliandika kwenye Twitter wakisema:
“Msamaha, ee Mtume wa Allaah.”
Inajuzu katika hali kama hii?
Jibu: Hayana msingi. Ni maneno yasiyokuwa na msingi. Hakuombwi msamaha kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) baada ya kufa kwake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (59) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16543
- Imechapishwa: 19/09/2017