Msafiri wa ndege amelala katika Ihraam

Swali: Nilivaa mavazi ya Ihraam na nikapanda ndege. Lakini wakati ndege ilipita kituo nilikuwa nimelala na sikutamka Ihraam yangu isipokuwa baada ya ndege kudema. Je, kuna kinachonilazimu?

Jibu: Ndio. Hukuingia Ihraam kutoka kituoni. Ima urudi kituoni na uingie Ihraam hapo kituoni au uingie Ihraam hapo uwanjani wa ndege na hivyo utoe fidia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (20) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-6-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/01/2020