Msafiri kutokuwa na nia thabiti ya kufunga

Swali: Kuna mtu alinuwia safari na akasema ntafunga, na katika nia yake ni kuwa akisafiri atakula.

Jibu: Yaani wewe usiku umekupita ukiwa na nia hii ambayo hukuazimia swawm. Akisafiri na akala, hana juu yake kitu. Na akisafiri na akafunga au akabaki kufunga kwa nia kama hii atalipa kwa kukosekana maazimio katika nia[1].

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/mfungaji-anasita-niendelee-kufunga-au-nifungue/

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020