Swali: Nikiwa safarini ambapo nikaswali Maghrib pamoja na  ´Ishaa. Je, inafaa kwangu kuswali Witr katika wakati wa Maghrib?

Jibu: Ndio. Ukiswali ´Ishaa wakati wa Witr unaingia ndani ya haki yako. Lakini bora ni kuichelewesha Witr mwisho wa usiku au wakati mtu anapotaka kulala.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://shrajhi.com.sa/fatawa/90/%D8%B5%D9%84%D8%A7%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D9%88%D8%AA%D8%B1-%D9%81%D9%8A-%D9%88%D9%82%D8%AA-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%BA%D8%B1%D8%A8-%D8%B9%D9%86%D8%AF-%D8%AC%D9%85%D8%B9-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D9%82%D8%AF%D9%8A%D9%85
  • Imechapishwa: 22/12/2019