Msafiri haimlazimu swalah ya ijumaa


Swali: Tulisafiri na tulikuwa karibu na kijiji ambapo tunasikia Khutbah ya ijumaa lakini hatukuswali pamoja nao kwa sababu tulikuwa wasafiri. Badala yake tukaswali Dhuhr. Je, kitendo chetu hichi ni sahihi?

Jibu: Mtu akiwa msafiri basi haimlazimu swalah ya ijumaa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (20)
  • Imechapishwa: 03/07/2021