Msafiri anayeswali kikamilifu kuswali swalah za Sunnah

Swali: Nikiwa katika safari na nikapita katika mji ambapo nimekaa kwa mfano siku moja. Nikaswali kikamilifu na wao. Je, niswali Naafilah au niishie kuswali faradhi tu? Ni lipi bora?

Jibu: Ukiswali kikamilifu swali Raatibah. Ama ukifupisha Swalah usilete (usiswali).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (08) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-10-15.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014


Takwimu
  • 25
  • 413
  • 1,821,444