Msafiri anayekusudia kula safarini kisha asisafiri

Swali: Mwenye kutaka kusafiri kisha asiweze kufanya hivyo, je itakuwa imekatika nia ya swawm?

Jibu: Si kila mwenye kutaka safari hukatika nia. Baadhi ya wanawake husafiri nao wamefunga, huyu haikukatika. Imekatika yule ambaye alikusudia kula kisha asiweze kusafiri. Atalipa siku nyingine.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020