Msafiri amesahau kuwa yuko na maji

188- Nilisoma mbele ya baba yangu:

“Mwanamme yuko na maji kwenye bendeji, akasahau, akafanya Tayammum na kuswali. Halafu baadaye akakumbuka kuwa yuko na maji. Je, imesihi swalah yake?”

Akajibu:

“Yuko na maji. Nachelea kuwa swalah yake si sahihi.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/143)
  • Imechapishwa: 26/03/2021