Swali: Kuna mwanamke ambaye ameachwa na mumewe na akaomba serikali ili aweze kupata msaada wa kipesa za kijamii. Baada ya muda ndani ya eda akarudi kwa mume wake na wakati huohuo akaendelea kupata msaada wa kipesa za kijamii. Je, zile pesa anazopewa inafaa?

Jibu: Hapana, haifai. Ni haramu. Hivi sasa anaishi na mume na mume anamuhudumia. Sababu ambayo alikuwa anapewa msaada kwayo imekatika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (92) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20%D9%85%D9%86%20%D9%85%D8%B5%D8%A7%D8%A6%D8%AF%20%D8%A7%D9%84%D8%B4%D9%8A%D8%B7%D8%A7%D9%86-29-07-1439%D9%87%D9%80%200010.mp3
  • Imechapishwa: 21/07/2018