Swali: Je, unaona kuwa ni sawa kwa vijana kuacha baadhi ya Sunan kwa sababu ya manufaa ya Da´wah…

Jibu. Kabla ya hili nataka tu kusema kuwa mpira miguu sio katika njia za kulingania katika Uislamu[1]. Wajinga tu ndio wanaofanya mpira wa miguu kuwa ni njia moja wapo ya Da´wah. Hawana elimu yoyote juu ya Qur-aan na Sunnah ndio wanaofanya mpiga wa miguu ni njia moja wapo ya Da´wah.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/mpira-wa-miguu-kwa-ajili-ya-dawah/

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=q0J5cEpymbM
  • Imechapishwa: 18/02/2017