Swali: Je, unaona kuwa ni miongoni mwa maslahi ya ulinganizi vijana wakaacha kufanyia kazi baadhi ya Sunnah…

Jibu: Kabla ya kujibu hili nataka kusema kwamba mpira sio katika njia za kulingania katika Uislamu. Hakuna wanaofanya mpira kuwa njia miongoni mwa njia za kulingania isipokuwa tu wajinga. Wale wasiokuwa na elimu ya Qur-aan na Sunnah ndio wanaofanya mpira kuwa njia miongoni mwa njia za kulingania.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=q0J5cEpymbM
  • Imechapishwa: 26/09/2020