Swali: Mke ndio ana haki zaidi ya kuhudumikiwa kuliko mama au kinyume chake?

Jibu: Matumizi ni wajibu yapitike kwa mpangilio. Kwanza watakiwa kujihudumikia wewe mwenyewe. Kisha baada ya hapo mke kwa sababu amebanika kwa ajili ya mume. Baada ya hapo watoto. Halafu ndio wanakuja wazazi wawili. Kisha ndio wanakuja ndugu waliobaki. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Anza na wewe mwenyewe kisha wale ambao unawajibika kuwahudumia.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-02.mp3
  • Imechapishwa: 06/06/2018