Moja katika misingi mikubwa ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah


Swali: Kuanza kulingania katika Tawhiyd kabla ya kitu kingine ni moja katika misingi ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah?

Jibu: Hapana shaka. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliikaa Makkah miaka kumi na tatu akilingania kwanza katika Tawhiyd. Da´wah inaanzwa na Tawhiyd na ´Aqiydah kabla ya kila kitu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (85) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17635
  • Imechapishwa: 28/06/2018